Wilaya ya Rachuonyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Rachuonyo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Oyugis.

Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Homa Bay.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rachuonyo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.