Wilaya ya Mlima Elgon
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Mlima Elgon ni wilaya za Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake iko Kapsokwony mjini.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mlima Elgon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |