Nyahururu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nyahururu | |
| Mahali pa mji wa Nyahururu katika Kenya | |
| Anwani ya kijiografia: 0°2′0″N 36°22′0″E / 0.03333°N 36.36667°E | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Bonde la Ufa |
| Wilaya | Laikipia |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 24,751 |
Nyahururu ni mji wa Kenya katika mkoa wa Bonde la Ufa. Mji wa Nyahururu imo Mashariki wa Nakuru kwa mita 2,303 juu ya UB.
Ni sehemu wa Gatuzi ya Laikipia ikiwa sehemu ya kusini magharibi wa hilo Gatuzi.
Mji huu ulianzishwa kwa jina la Thomson Falls kutokana na maporomoko ya mto Ewaso Narok unaotiririka kutoka milima ya Aberdare.
Mji huu ulimea pamoja na kituo cha reli iliyoishikanisha na mji wa Gilgil. Nyahururu ilikuwa penye viwanda vya National Pencil, ambayo ilifungwa, na Kenya Cooperative Creameries. Chuo kikuu cha Egerton lina shule huko Nyahururu na kuna shule kadhaa za binafsi.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nyahururu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |