Bondo, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru



Bondo
Bondo is located in Kenya
Bondo
Bondo
Majiranukta: 0°14′57″N 34°16′26″E / 0.24917°N 34.27389°E / 0.24917; 34.27389
Nchi Kenya
Kaunti Siaya
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 22,712
Mji wa Bondo

Bondo ni mji wa Kenya, mkubwa kuliko yote ya kaunti ya Siaya.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2019, kuna wakazi wapatao 22,712 wanaoishi katika mji huo[1].

Watu mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

Bondo inajulikana kama pahali kiongozi wa chama cha ODM na Azimio la Umoja Raila Odinga [2] alipozaliwa.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Coordinates: 0°14′N 34°16′E / 0.233°N 34.267°E / 0.233; 34.267