Nyamira
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nyamira | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Nyanza |
| Wilaya | Nyamira |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 10 000 |
Nyamira ni mji wa Kenya katika Mkoa wa Nyanza upatikanao nchini Kenya. Huu ndio mji mkuu wa Wilaya ya Nyamira.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nyamira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |