Mombasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mombasa
Pembe za Mombasa ni ishara ya mji
Pembe za Mombasa ni ishara ya mji
Mombasa is located in Kenya
Mombasa
Mombasa
Mahali pa mji wa Mombasa katika Kenya
Coordinates: 4°3′S 39°40′E / Expression error: Unexpected < operator Expression error: Unexpected < operator / Expression error: Unexpected < operator; Expression error: Unexpected < operator
Nchi Kenya
Mkoa Pwani
Wilaya Mombasa
Idadi ya wakazi
 - Mji 707 400

Mombasa ni mji mkubwa wa pili wa Kenya mwenye bandari muhimu zaidi ya Africa Mashariki. Iko kwenye mwambao wa Bahari Hindi. Kuna wakazi 900,000 kwenye kisiwa cha Mombasa pamoja na sehemu zake barani.

Mombasa ni kitovu cha utalii wa pwani la Kenya. Watalii walio wengi hufika kweye kiwanja cha ndege cha Moi.

Kati ya ishara ya mji ni Boma la Yesu na pembe za Mombasa.

Kiswahili cha Mombasa chaitwa "Kimvita".

Mombasa na Seattle ni "miji-ndugu".

[hariri] Viungo vya nje

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mombasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: