Homa Bay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Homa Bay


Homa Bay
Homa Bay is located in Kenya
Homa Bay
Homa Bay

Mahali pa mji wa Homa Bay katika Kenya

Majiranukta: 0°31′0″S 34°27′0″E / 0.51667°S 34.45000°E / -0.51667; 34.45000
Nchi Kenya
Kaunti Homa Bay
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 59,844
Tovuti:  www.homabaymunicipalcouncil.org

Homa Bay ni mji wa Kenya magharibi, makao makuu ya kaunti ya Homa Bay.

Wakazi walikuwa 59,844 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]