Kakamega
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mji wa Kakamega | |
| Mahali pa mji wa Kakamega katika Kenya | |
| Anwani ya kijiografia: 0°17′0″N 34°45′0″E / 0.28333°N 34.75°E | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Magharibi |
| Wilaya | Kakamega |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 12,000 |
Kakamega ni makao makuu ya Mkoa wa Magharibi wa Kenya. Mji una wakazi 73,607 (sensa ya 1999). Wenyeji ni hasa Waluhya.
Kakamega iko takriban 100 km kaskazini ya Kisumu.
Tangu mwaka 2006 chuo cha ufundi Kakamega kilipandishwa cheo kuwa Chuo Kikuu cha Malinde Musiro (Masinde Muliro University of Science and Technology).
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kakamega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |