Waluhya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
'Waluhya' (Abaluhya) ni kabila kubwa la pili katika Kenya wakikalia hasa Mkoa wa Magharibi. Wako pia Uganda na Tanzania.
Katika Kenya kuna koo 18, Uganda koo 4 na Tanzania ukoo mmoja wa Kiluhya. Koo kubwa zaidi ni Wabukusu, Wamaragoli, Wawanga, Wanyore, Waidakho, Wakisa, Waisukha, Watiriki, Wakabras, Wagisu na Wasaamia.
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waluhya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |