Wilaya ya Pokot Magharibi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Wilaya ya Pokot Magharibi | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Pokot Magharibi katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Bonde la Ufa |
| Mji mkuu | Kapenguria |
| Eneo | |
| - Wilaya | 9,064 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 308,086 |
Wilaya ya Pokot Magharibi ni wilaya za Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake iko Kapenguria mjini.
Marejeo[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Pokot Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |