Wilaya ya Narok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Narok
Mahali paWilaya ya Narok
Mahali paWilaya ya Narok
Mahali pa Wilaya ya Narok katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Narok
Eneo
 - Jumla 17,921.2 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 850,920

Wilaya ya Narok ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Narok.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Narok.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Narok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.