Wilaya ya Trans-Nzoia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Wilaya ya Trans-Nzoia | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Trans-Nzoia katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Bonde la Ufa |
| Mji mkuu | Kitale |
| Eneo | |
| - Wilaya | 2,468 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 575,662 |
Wilaya ya Trans-Nzoia ni wilaya ya utawala ya Mkoa wa Bonde la Ufa, Kenya.
Iko katikati ya Mto Nzoia na Mlima Elgon makau makuu yake yako Kitale.
Kihistoria, eneo hili limekuwa likikaliwa na Wakalenjin. Baada ya uhuru,mashamba mengi yaliyo wachwa na masetla wazungu yalinunuliwa na watu kutoka kundi la makabila mengine ya Kenya.
Wilaya hii ina maeneo ya bunge matatu:
| Serikali za Mitaa(Mabaraza ya miji) | |||
| Eneo | Aina | Idadi ya Watu* | Wakaazi wa mjini* |
|---|---|---|---|
| Kitale | Manispaa | 86,055 | 63,245 |
| Nzoia | Baraza ya mji | 489,607 | 0 |
| Jumla | - | 575,662 | 63,245 |
| * Sensa ya 1999 census|. Sources:[2][3] | |||
| Divisheni za utawala | |||
| Divisheni | Idadi ya Watu* | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Central | 147,992 | 42,884 | Kitale |
| Cherangany | 52,974 | 0 | Cherangani |
| Endebess | 61,481 | 0 | Endebess |
| Kaplamai | 89,858 | 0 | |
| Kiminini | 64,685 | 0 | Kiminini |
| Kwanza | 88,727 | 0 | Kwanza |
| Saboti | 69,945 | 0 | Saboti |
| Jumla | 575,662 | 42,884 | - |
| *Septemba 2005 | [4],[5] | |||
Marejeo[hariri]
- ↑ Ofisi ya Taifa ya Takwimu
- ↑ Communications Commission of Kenya – Status of Coverage of Communications Services
- ↑ International Livestock Research Institute – Urban Poverty (.xls)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Civic Elections Results (2002)