Wilaya ya Vihiga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Vihiga ni wilaya za Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake iko Vihiga mjini.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Vihiga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |