Wilaya ya Baringo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Baringo
Mahali paWilaya ya Baringo
Mahali paWilaya ya Baringo
Mahali pa Wilaya ya Baringo katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kabarnet
Eneo
 - Jumla 11,075.3 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 555,561

Wilaya ya Baringo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Kabarnet.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Baringo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Baringo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.