Wilaya ya Lamu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa maana mengine, tazama Lamu (maana).
| Wilaya ya Lamu | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Lamu katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Pwani |
| Mji mkuu | Lamu |
| Eneo | |
| - Wilaya | 6,167 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 72,686 |
Wilaya ya Lamu ni wilaya moja ya Mkoa wa Pwani nchini Kenya. Makao makuu yako Lamu mjini. Eneo la wilaya ni kanda la ardhi ya Kenya bara kusini ya mpaka wa Somalia pamoja na funguvisiwa ya Lamu. Eneo la wilaya ni 6,167 km² na idadi ya wakazi ni 72,686. [1].
Wenyeji ni hasa Wabanjuni. Kuna misitu ya mikoko ufukoni.
Wilaya inachagua wabunge wawili wa Lamu Mashariki na Lamu magharibi.
|
|
|||
| Tarafa | Wakazi wote* | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Amu | 17,310 | 12,839 | Lamu |
| Faza | 7,474 | 0 | Faza |
| Hindi | 7,072 | 1,335 | |
| Kiunga | 3,310 | 0 | Kiunga |
| Kizingitini | 6,010 | 0 | Kizingitini |
| Mpeketoni | 25,530 | 773 | Mpeketoni |
| Witu | 5,980 | 1,322 | Witu |
| Total | 72,686 | 16,269 | - |
| * 1999 census. Sources: [2], [3], | |||
Marejeo[hariri]
Viungo vya Nje[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Lamu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |