Wilaya ya Nyamira
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Nyamira ni wilaya ya utawala nchini Kenya inayopatikana katika Mkoa wa Nyanza. Ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kisii na huitwa pia Kisii Kaskazini. Wilaya hii ina Idadi ya watu 492,102 kulingana na Hesabu ya 1999. Mji wake mkuu ni Nyamira ambao una watu takribani 10,000 kulngana na hesabu ya 1999 [1]
Yaliyomo |
[hariri] Maeneo ya Utawala ya Wilaya
| Maeneo ya Utawala | |||
| Eneo | Aina ya Utawala | Idadi ya Watu* | Wakazi wa mtaa* |
|---|---|---|---|
| Nyamira | Mji | 65,633 | 9,971 |
| Nyansiongo | Mji | 35,413 | 3,692 |
| Nyamira County | County | 397,056 | 0 |
| Kwa Ujumla | 498,102 | 13,663 | |
| *Hesabu ya 1999. Kiini: [1] | |||
| Tarafa za Utawala | |||
| Tarafa | Idadi ya Watu* | Idadi ya Wakazi mtaani | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Borabu | 58,079 | 3,241 | Nyansiongo |
| Ekerenyo | 133,967 | 0 | Ekerenyo |
| Manga | 75,996 | 0 | Manga |
| Nyamira | 133,920 | 9,559 | Nyamira |
| Rigoma | 96,140 | 3,395 | Rigoma |
| Kwa Ujumla | 498,102 | 16,195 | - |
| *Hesabu ya 1999. Kiini: [2], | |||
[hariri] Majimbo ya Uchaguzi
Wilaya ya Nyamira ina majimbo matatu ya Uchaguzi:
[hariri] Viungo vya Nje
[hariri] Virejeleo
[hariri] Tazama Pia
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nyamira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |