Wilaya ya Nakuru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Wilaya ya Nakuru | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Nakuru katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Bonde la Ufa |
| Mji mkuu | Nakuru |
| Eneo | |
| - Wilaya | 7,242 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 1 ,187,039 |
Wilaya ya Nakuru ni moja ya wilaya za Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake ni Nakuru mjini.
[hariri] Marejeo
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nakuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |