Wilaya ya Kisii Kati
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Kisii)
Wilaya ya Kisii ni wilaya ya Kenya ipatikanayo katika Mkoa wa Nyanza, Kusini Magharibi mwa Kenya. Mji wake mkuu ni Kisii ambao una wakazi Wakisii.
Yaliyomo |
Tarafa za Kisii na Maeneo ya Utawala [hariri]
| Maeneo ya Utawala | |||
| Eneo | Aina | Idadi ya Watu* | Wakazi wa mji* |
|---|---|---|---|
| Kisii | Munisipali | 59,248 | 25,634 |
| Keroka | Mji | 44,861 | 3,720 |
| Masimba | Mji | 40,218 | 1,666 |
| Suneka | Mji | 43,908 | 4,217 |
| Gusii | County | 303,551 | 0 |
| *hesabu ya watu ya 1999. Kiini: [1] | |||
| Tarafa za Utawala | |||
| Tarafa | Idadi ya Wakazi* | Wakazi wa Mtaa* | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Keumbu | 109,837 | 8,843 | Keumbu |
| Kisii township | 37,531 | 12439 | Kisii |
| Marani | 89,215 | 0 | Marani |
| Masaba | 105,926 | 908 | Masimba |
| Mosocho | 63,247 | 0 | Nyakoe |
| Suneka | 86,030 | 3,723 | Suneka |
| *Hesabu ya 1999. Kiini: [2], | |||
Majimbo ya Ubunge Wilayani [hariri]
Wilaya ya Kisii ina Majimbo manne ya Ubunge:
Uchumi [hariri]
Wakazi wengi wa wilaya hii wanategemea kilimo kwa chakula na mapato ya Kifedha[1]. Pia kuna biashara, hasa uuzaji wa mapato ya Kilimo. Baadhi ya mimea inayokuzwa ni mahindi, Ndizi na Chai.
Tazama Pia [hariri]
- Wilaya ya Gucha (Kisii Kusini)
- Wilaya ya Nyamira (Kisii Kaskazini)
- Mji wa Kisii
Viungo vya Nje [hariri]
Virejeleo [hariri]
- ↑ Ripoti ya Ufugaji wilayani Kisii: www.smallholderdairy.org
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kisii Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
