Wilaya ya Thika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Thika ni wilaya za Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake iko Thika mjini.
Wilaya imepakana na Nairobi upande wa kaskazini mashariki. Idadi ya wakazi ni 645.713
Wilaya hasa ni kijiji, lakini wakazi wake wa mjini wanazidi kuongezeka pale mji wa Nairobi inapozidi kupanuka. Wakikuyu ndio waliozaidi kwa idadi wilayani.
| Halmashauri za miji wilayani | |||
| Mamlaka | Aina | Idadi ya Watu | Mjini pop.* |
|---|---|---|---|
| Thika | Manispaa | 88.265 | 82.665 |
| Ruiru | Manispaa | 109.349 | 79.741 |
| Thika kata | County | 448.099 | 5.968 |
| Jumla | -- | 645.713 | 168.374 |
| * 1999 census. Source: [1] | |||
| Tarafa za wilaya ya Thika | |||
| Tarafa | Idadi ya Watu | Mjini pop.* | Makao makuu ya |
|---|---|---|---|
| Gatanga | 103.048 | 0 | |
| Gatundu | 113.699 | 0 | Gatundu |
| Kakuzi | 71.622 | 0 | |
| Kamwangi (Gatundu kaskazini) | 99.460 | 0 | |
| Ruiru (Juja) | 150.710 | 81.709 | Ruiru |
| Thika manisipaa | 107.174 | 75.893 | Thika |
| Jumla | 645.713 | 157.602 | |
| * 1999 census. Sources: [2], [3], | |||
Wilaya ina majimbo ya uchaguzi manne:
- Eneo bunge la Gatanga (lina Gatanga na Kakuzi divisions)
- Eneo bunge la Gatundu Kusini
- Eneo bunge la Gatundu Kazkazini
- Eneo bunge la Juja
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Thika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |