Wilaya ya Kajiado
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Wilaya ya Kajiado | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Kajiado katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Bonde la Ufa |
| Mji mkuu | Kajiado |
| Eneo | |
| - Wilaya | 21,903 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 406,054 |
Wilaya ya Kajiado ni wilaya ya Utawala katika Mkoa wa Bonde la Ufa nchini Kenya. Ina jumla ya wakaazi 406,054 ukubwa wa eneo la kilomita mraba 21,903 [1]. Wilaya hii inapakana na mji wa Nairobi na kuendelea hadi kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania kusini zaidi. Makau makuu yake ni Kajiado.
| Serikali za Mitaa(Baraza ya Miji) | |||
| Serikali ya Mtaa | Aina | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* |
|---|---|---|---|
| Kajiado | mji | 12,204 | 9,128 |
| Olkejuado | Baraza la mji | 393,850 | 71,223 |
| Jumla | - | 406,054 | 80,351 |
Wilaya hii imegawanywa kwenye taarafa saba za utawala. Tarafa mpya ya Isinya haijajumuishwa kwenye jadwali lifuatalao kulingana na sensa ya 1999:
| Maeneo ya utawala | |||
| Tarafa | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Mkoa wa Kati | 69,402 | 16,444 | Kajiado |
| Loitokitok | 95,430 | 7,495 | |
| Magadi | 20,112 | 0 | Magadi |
| Mashuru | 35,666 | 2,248 | Mashuru |
| Namanga | 35,673 | 5,503 | Namanga |
| Ngong | 149,771 | 20,657 | Ngong |
| Jumla | 406,054 | 38,299 | - |
Kuna maeneo bunge matatu katika wilaya hii:
Angalia Pia [hariri]
- Hifadhi ya Amboseli iko katika Wilaya ya Kajiado
- Jangwa la Nyiri, sehemu kubwa ya wilaya hii iko katika jangwa hili
- Kitengela, mji na sehemu ya uwazi na jina sawia katika Wilaya ya Kajiado.