Eneo Bunge la Kieni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo Bunge la Kieni ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo bungehili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge [hariri]
| Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Joel Muruthi Muriithi | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
| 1992 | David Munene Kairu | Democratic Party | |
| 1997 | David Munene Kairu | Democratic Party | Kairu alifariki mwaka wa 1998, na kusababisha uchaguzi mdogo. |
| 1998 | Chris Murungaru | Democratic Party | uchaguzi mdogo |
| 2002 | Chris Murungaru | NARC | |
| 2007 | Namesyus Warugongo | PNU |
Wadi [hariri]
| Wadi | ||
| Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | mamlaka ya Mtaa |
|---|---|---|
| Endarasha | 7,913 | Baraza la Mji wa Nyeri |
| Gakawa | 7,201 | Baraza la Mji wa Nyeri |
| Gatarakwa | 7,813 | Baraza la Mji wa Nyeri |
| Kiamathaga | 4,622 | Baraza la Mji wa Nyeri |
| Mugunda | 6,547 | Baraza la Mji wa Nyeri |
| Mweiga | 12,695 | Baraza la Mji wa Nyeri |
| Naro Moru | 9,166 | Baraza la Mji wa Nyeri |
| Ngonde | 2,700 | Manispaa ya Nyeri |
| Thegu River | 11,540 | Baraza la Mji wa Nyeri |
| Jumla | 70,197 | |
| *Septemba 2005 | [2],[3] | ||
Marejeo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Civic Elections Results (2002)