Maeneo bunge ya Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maeneo bunge ya Kenya yanatumika kuchagua wajumbe wa bunge la Kenya. Kuna maeneo bunge 290 nchini Kenya.

Kenya ina mfumo wa kupiga kura wa mshindi-mmoja, kumaanisha kila eneo bunge linachagua mbunge mmoja tu.

Maeneo bunge yamegawanywa zaidi katika kata, zinazotumika kuchagua madiwani kwa serikali za mitaa.

Wabunge na madiwani wanachaguliwa wakati wa uchaguzi mkuu unaofanyika kila baada ya miaka mitano. Uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2007 ulisababisha mgogoro mkubwa.

Baada ya hapo ilitungwa katiba mpya ya mwaka 2010.

Maeneo bunge kaunti kwa kaunti[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Baringo[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Bomet[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Bungoma[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Busia[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Elgeyo-Marakwet[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Embu[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Garissa[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Homa Bay[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Isiolo[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kajiado[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kakamega[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kericho[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kiambu[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kilifi[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kirinyaga[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kisii[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kisumu[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kitui[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kwale[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Laikipia[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Lamu[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Machakos[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Makueni[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Mandera[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Marsabit[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Meru[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Migori[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Mombasa[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Murang'a[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Nairobi[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Nakuru[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Nandi[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Narok[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Nyamira[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Nyandarua[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Nyeri[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Samburu[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Siaya[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Taita-Taveta[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Tana River[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Tharaka-Nithi[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Trans-Nzoia[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Turkana[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Uasin Gishu[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Vihiga[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Wajir[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya West Pokot[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]