Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1997 ndio ulikuwa wa pili katika Mfumo wa Vyama Vingi Nchini Kenya. Ulifanyika mnamo tarehe 29, Desemba 1997.
Yaliyomo |
Matokeo ya Urais [hariri]
Kulikuwa na wagombezi watano muhimu wa urais katika uchaguzi huu, huklu mmoja akiwa mwanamke wa kwanza kugomba urais nchini Kenya:
- Daniel Arap Moi
- Mwai Kibaki
- Raila Amollo Odinga
- Michael Wamalwa Kijana
- Charity Ngilu
Miongoni mwa wengine
| Chama | Mgombea | Idadi ya Kura | % | |||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| KANU | Daniel Arap Moi | 2,500,856 | 40.60% | |||||||||
| DP | Mwai Kibaki | 1,911,742 | 31.00% | |||||||||
| NDP | Raila Odinga | 667,886 | 10.80% | |||||||||
| FORD-K | Kijana Wamalwa | 505,704 | 8.20% | |||||||||
| SDP | Charity Ngilu | 488,600 | 7.90% | |||||||||
| Others | Others | 84,644 | 1.40% | |||||||||
| Total | 6,159,432 | |||||||||||
| Waliojitokeza: 68.2% (Wapiga kura waliojiandikisha: 9,030,167) | ||||||||||||
Matokeo ya Urais Kimikoa [hariri]
| Mkoa | Moi | % | Kibaki | % | Raila | % | Wamalwa | % | Ngilu | % | Wengine | % | Wapigakura Waliojiandikisha |
Waliojitokeza % |
|
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Kati | 56,367 | 5.6% | 891,484 | 89.4% | 6,869 | 0.7% | 3,058 | 0.3% | 30,535 | 3.1% | 9,347 | 0.9% | 1,346,189 | 74.1% | |
| Bonde la Ufa |
1,140,109 | 69.5% | 343,529 | 21.0% | 36,022 | 2.2% | 102,178 | 6.2% | 11,345 | 0.7% | 6,232 | 0.4% | 2,160,453 | 75.9% | |
| Western | 314,669 | 44.9% | 9,755 | 1.4% | 13,458 | 1.9% | 338,120 | 48.2% | 3,429 | 0.5% | 21,496 | 3.1% | 1,028,732 | 68.1% | |
| Nyanza | 215,923 | 23.6% | 138,202 | 15.1% | 519,180 | 56.8% | 14,623 | 1.6% | 15,301 | 1.7% | 11,245 | 1.2% | 1,361,251 | 67.2% | |
| Mashariki | 370,954 | 35.6% | 296,335 | 28.5% | 7,787 | 0.7% | 7,017 | 0.7% | 349,754 | 33.6% | 8,916 | 0.9% | 1,433,737 | 72.6% | |
| Nairobi | 75,272 | 20.6% | 160,124 | 43.9% | 59,415 | 16.3% | 24,971 | 6.8% | 39,707 | 10.9% | 5,066 | 1.4% | 726,779 | 50.2% | |
| Coast | 257,056 | 63.4% | 51,909 | 12.8% | 24,844 | 6.1% | 11,306 | 2.8% | 38,089 | 9.4% | 22,180 | 5.5% | 800,689 | 50.6% | |
| Kaskazini Mashariki |
70,506 | 73.2% | 20,404 | 21.2% | 311 | 0.3% | 4,431 | 4.6% | 440 | 0.5% | 162 | 0.2% | 172,337 | 55.9% | |
| Total | 2,500,856 | 40.6% | 1,911,742 | 31.0% | 667,886 | 10.8% | 505,704 | 8.2% | 488,600 | 7.9% | 84,644 | 1.4% | 9,030,167 | 68.2% | |
| Kiini: Electoral Commission of Kenya | |||||||||||||||
Matokeo ya Ubunge [hariri]
(Wabunge 222, 12 wakiteuliwa na rais, 210 wakichaguliwa na raia kutumikia kipindi cha miaka mitano)
| Chama | Viti |
|---|---|
| KANU | 107 |
| DP | 39 |
| NDP | 21 |
| Ford-Kenya | 17 |
| SDP | 15 |
| SAFINA | 5 |
| Ford-People | 3 |
| Ford-Asili | 1 |
| Vyama vidogo | 2 |
- Viti vilivyoteuliwa na rais—KANU 6, DP 2, FORD-Kenya 1, SDP 1, NDP 1, SAFINA 1
Virejeleo [hariri]
- ↑ http://www.umsl.edu/services/govdocs/wofact98/134.htm Results from World Factbook 1998
Out for the Count: The 1997 General Elections and Prospects for Democracy in Kenya, Rutten, Marcel et al Eds., Uganda, Fountain, 2001.
Viungo vya nje [hariri]
|
|||||||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997 kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala African election-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |