Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1992 ambao ulifanyika tarehe 29 Desemba, ndio ulikuwa wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi.

Matokeo yake yalikumbwa na madai ya kuibwa kwa masanduku ya kupiga kura, madai ambayo yalizua vita vya kukabila katika Mkoa wa Rift Valley. Tume ya Kutetea Haki za Kibinadamu iliwalaumu viongozi wengi wakuu akiwemo aliyekuwa rais Daniel Arap Moi makamo wake wa wakati huo George Saitoti kwa kuwachochea wananchi na kupanga vita hivyo.[1].

Matokeo ya Urais[hariri | hariri chanzo]

Chama Mgombea Idadi ya Kura Asilimia
KANU Daniel Arap Moi 1,962,866 36.4%
Ford-Asili Kenneth Matiba 1,404,266 26.0%
DP Mwai Kibaki 1,050,617 19.5%
Ford-Kenya Jaramogi Oginga Odinga 944,197 17.5%
KNC George Anyona 15,393 0.3%
PICK John Harun Mwau 6,449 0.1%
KSC David Mukaru Ng'ang'a 14,253 0.3%
Jumla 5,398,037
Waliojitokeza: 67.8% (Wapiga Kura
waliojiandikisha: 7,956,354)

Matokeo ya Kimikoa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa Moi % Matiba % Kibaki % Odinga % Jumla
Nairobi 62,402 16.6% 165,533 44.1% 69,715 18.6% 75,898 20.2% 373,548
Kati 21,882 2.1% 621,368 60.1% 372,937 36.1% 10,765 1.0% 1,026,952
Mashariki 290,494 36.8% 80,515 10.2% 398,727 50.5% 13,064 1.7% 782,800
Kaskazini Mashariki 57,400 78.1% 7,460 10.1% 3,297 4.5% 5,237 7.1% 73,394
Pwani 200,596 64.1% 35,598 11.4% 23,766 7.6% 50,516 16.1% 310,476
Bonde la Ufa 994,844 67.8% 274,011 18.7% 111,098 7.6% 83,945 5.7% 1,463,898
Magharibi 217,375 40.9% 192,859 36.3% 19,115 3.6% 94,851 17.9% 524,200
Nyanza 111,873 14.4% 26,922 3.3% 51,962 6.4% 609,921 74.7% 800,678
1,956,866 1,404,266 1,050,617 944,197 5,398,037
Kiini: Multi-party Politics in Kenya [2]

Matokeo ya Ubunge[hariri | hariri chanzo]

Chama Idadi ya
viti
KANU 100
Ford-Asili 31
Ford-Kenya 31
DP 23
Kenya Social Congress 1
Kenya National Congress 1
Party of Independent Candidates of Kenya 1

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Human Rights Watch (1993), Divide and Rule: State Sponsored Ethnic Violence in Kenya
  2. Throup, David; Charles Hornsby (1998). Multi-Party Politics in Kenya: The Kenyatta & Moi States & the Triumph of the System in the 1992 Election. New York: Long House Publishing Services, Cumbria, UK. ISBN 0-8214-1206-X.  , p. 435.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]