Eneo Bunge la Mukurweini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo Bunge la Mukurweini ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo Bunge la Mukurweini linajumuisha taarafa ya Mukurweini katika Wilaya ya Nyeri. Eneo bunge la Mukurweini lina wadi saba,zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyeri. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge [hariri]
| Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1969 | Mwai M. Koigi | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
| 1974 | Henry Clement Wariithi | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
| 1979 | Henry Clement Wariithi | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
| 1983 | Ngumbu Njururi Maiyani | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
| 1988 | Ngumbu Njururi Maiyani | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
| 1992 | David Muhika Mutahi | Democratic Party | |
| 1997 | David Muhika Mutahi | Democratic Party | |
| 2002 | Mutahi Kagwe | NARC | |
| 2007 | Kabando wa Kabando | Safina |
Wadi [hariri]
| ' | |
| Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa |
|---|---|
| Gakindu | 7,828 |
| Giathugu | 8,388 |
| Gikondi | 6,330 |
| Githi | 6,502 |
| Muhito | 9,463 |
| Rutune | 4,717 |
| Thanu | 3,589 |
| Total | 46,817 |
| *Septemba 2005 | [2],[3] | |
Marejeo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Civic Elections Results (2002)
Kigezo:Wilaya ya Nyeri Kigezo:Maeneo Bunge katika Mkoa wa Kati (Kenya)