Eneo bunge la Mathira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Mathira)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Mathira ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Anderson Kangeri Wamuthenya KANU Mfumo wa chama kimoja
1969 Davidson Ngibuini Kuguru KANU Mfumo wa chama kimoja
1974 Davidson Ngibuini Kuguru KANU Mfumo wa chama kimoja
1979 Davidson Ngibuini Kuguru KANU Mfumo wa chama kimoja
1983 Eliud Matu Wamae KANU Mfumo wa chama kimoja
1988 Davidson Ngibuini Kuguru KANU Mfumo wa chama kimoja.
1992 Eliud Matu Wamae Democratic Party
1997 Eliud Matu Wamae Democratic Party
2002 James Nderitu Gachagua NARC
2007 Ephraim Mwangi Maina Safina

Wadi[hariri | hariri chanzo]

'
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa Mamlaka ya Mtaa
Kibiashara 3,520 Manispaa ya Karatina
Hospital 2,756 Manispaa ya Karatina
Iria-ini (Mathira) 11,981 Baraza la Mji wa Nyeri
Kirimukuyu 14,561 Baraza la Mji wa Nyeri
Konyu 13,961 Baraza la Mji wa Nyeri
Magutu 11,087 Baraza la Mji wa Nyeri
Market 3,694 Manispaa ya Karatina
Ngorano 12,242 Baraza la Mji wa Nyeri
Railway 3,704 Manispaa ya Karatina
Makazi 3,596 Manispaa ya Karatina
Uwanja 4,193 Manispaa ya Karatina
Jumla 85,295
*Septemba 2005 | [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]