Dameski : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 31: Mstari 31:
|colspan="2" align=center | [[Picha:Sy-map.png|300px|center]]
|colspan="2" align=center | [[Picha:Sy-map.png|300px|center]]
|}
|}
'''Dameski''' (''pia: Damasko, Damaskus, Damascus;'' [[kiar.]]: '''<big>دمشق</big>''' ''"dimashk"'') ni [[mji mkuu]] wa [[Syria]], pia ni mji mkubwa wa nchi hiyo wenye wakazi milioni 4.5.
'''Dameski''' (''pia: Damasko, Damaskus, Damascus; kutoka '' [[Kiarabu]]: '''<big>دمشق</big>''' ''"dimashk"'') ni [[mji mkuu]] wa [[Syria]], pia ni [[mji]] mkubwa wa nchi hiyo wenye wakazi [[milioni]] 4.5.


Dameski ni kati ya miji ya kale kabisa duniani iliyoendelea kukaliwa mahali palepale: inaaminiwa imekaliwa tangu miaka 8,000 au zaidi.
Dameski ni kati ya miji ya kale kabisa [[duniani]] iliyoendelea kukaliwa mahali palepale: inaaminiwa imekaliwa tangu miaka 8,000 au zaidi.


== Jina ==
== Jina ==
Nchini mji huitwa mara nyingi '''<big>الشام</big>''' ''("ash-shām")''. Jina hilo latumiwa na [[Waarabu]] wengine pia kwa nchi yote ya Syria. Kihistoria "[[Shamu]]" ilikuwa jina la nchi yote upande wa mashariki wa bahari ya [[Mediteranea]].
Nchini mji huitwa mara nyingi '''<big>الشام</big>''' ''("ash-shām")''. [[Jina]] hilo latumiwa na [[Waarabu]] wengine kwa nchi yote ya Syria pia. [[Historia|Kihistoria]] "[[Shamu]]" ilikuwa jina la nchi yote upande wa [[mashariki]] wa [[bahari]] ya [[Mediteranea]].


Haijulikani kutoka lugha gani jina la “Dameski” lilikujaa. Dameski inaitwa na waenyeji wake kwa jina la “Sham” pia au wakati nyingine “al Fayhaa” au "madinat al yasamin," kwa Kiarabu, yaani “Mji wa Yasimini.”
Haijulikani kutoka [[lugha]] gani jina la “Dameski” lilikuja. Dameski inaitwa na wenyeji wake kwa jina la “Sham” pia au wakati mwingine “al Fayhaa” au "Madinat al Yasamin", yaani “Mji wa Yasimini.”


== Jiografia ==
== Jiografia ==
Dameski iko takriban kilometa 80 mashariki ya pwani ya Mediteranea na kilometa 30 kutoka mpaka kati ya [[Syria]] na [[Lebanoni]] kando ya [[mto Barada]]. Iko kwenye kimo cha mita 680 [[juu ya UB]].
Dameski iko takriban [[kilometa]] 80 mashariki kwa [[pwani]] ya Mediteranea na kilometa 30 kutoka mpaka kati ya [[Syria]] na [[Lebanoni]] kando ya [[mto Barada]]. Iko kwenye [[kimo]] cha [[mita]] 680 [[juu ya UB]].


Upande wa magharibi ni [[milima ya Libanoni ndogo]] inayozuia mawingu yenye mvua kufika kutoka Mediteranea. Upande wa mashariki inaanza [[jangwa]]. Kati ya mji, kuna mito midogo mingi, na mto mkuu ni mto wa Barada.
Upande wa [[magharibi]] ni [[milima]] ya [[Lebanoni Ndogo]] inayozuia [[mawingu]] ya [[mvua]] kufika kutoka Mediteranea. Upande wa mashariki linaanza [[jangwa]].


Zamani, palikuwa na bustani nyingi sehemu zote za nchi. Lakini kwa sababu ya uchafuzi wa mazingira na idadi ya watu ambayo imekuwa inapanda , siku hizi bustani ni chache na pia hakuna maji mengi mitoni kwa mji.
Kati ya mji, kuna [[mito]] midogo mingi, na mto mkuu ndio Barada. Zamani, palikuwa na [[bustani]] nyingi sehemu zote za nchi. Lakini kwa sababu ya [[uchafuzi wa mazingira]] na [[idadi]] ya [[watu]] ambayo imekuwa inapanda, siku hizi bustani ni chache na pia hakuna [[maji]] mengi mitoni kwa mji.


Mji wa kisasa una eneo la 105 km2. Eneo la 77 km2  limetumiwa kwa majengo, makazi na mashamba, na eneo lililobaki ni mlima wa Qassioun.
Mji wa kisasa una eneo la km2 105. Eneo la km2 77 limetumiwa kwa [[Jengo|majengo]], makazi na [[Shamba|mashamba]], na eneo lililobaki ni [[mlima wa Qassioun]].


=== Hali ya Hewa ===
=== Hali ya hewa ===
Kwa sababu ya milima ya Anti-Lebanon, kuna mvua chache mjini. Wakati wa baradi, kuna mvuva na theluji mara kwa mara. Wakati wa joto, hali ya hewa ni kavu na joto.
Kwa sababu ya milima ya Anti-Lebanon, kuna mvua chache mjini. Wakati wa [[baridi]], kuna mvua na [[theluji]] mara kwa mara. Wakati wa [[joto]], [[hali ya hewa]] ni kavu na joto.


== Historia ==
== Historia ==
[[Akiolojia]] imeonyesha makazi ya kibinadamu katika eneo la Dameski tangu [[milenia]] ya 5 [[KK]].
[[Akiolojia]] imeonyesha makazi ya [[binadamu]] katika eneo la Dameski tangu [[milenia ya 5 KK]].


=== Utawala wa Misri ===
=== Utawala wa Misri ===
Mji ulitajwa mara ya kwanza kimaandishi kwa jina la "Tamasqu" (tmsq) katika taarifa za [[Misri ya Kale]] wakati wa [[Farao]] [[Thutmosis III]] ([[1479 KK]] - [[1425 KK]]). Ilikuwa chini ya utawala wa Misri hadi mnamo mwaka 1100 KK.
Mji ulitajwa mara ya kwanza kimaandishi kwa jina la "Tamasqu" (tmsq) katika taarifa za [[Misri ya Kale]] wakati wa [[Farao]] [[Thutmosis III]] ([[1479 KK]] - [[1425 KK]]). Ilikuwa chini ya [[utawala]] wa [[Misri]] hadi mnamo mwaka [[1100 KK]].


=== Ufalme wa Aramu ===
=== Ufalme wa Aramu ===
Tangu [[1000 KK]] mji ukawa kitovu cha ufalme wa [[Aramu-Dameski]] unaotajwa pia mara nyingi katika [[Biblia]]. Baada ya kushindana mara nyingi na [[Israeli]] ulikwisha katika [[vita]] dhidi ya [[Assyria]] mwaka [[732 KK]].
Tangu [[1000 KK]] mji ukawa [[kitovu]] cha [[ufalme]] wa [[Aramu-Dameski]] unaotajwa mara nyingi katika [[Biblia]] pia. Baada ya kushindana mara nyingi na [[Israeli]] ulikwisha katika [[vita]] dhidi ya [[Assyria]] mwaka [[732 KK]].


=== Utawala wa Babeli, Uajemi, Wagiriki na Roma ===
=== Utawala wa Babeli, Uajemi, Wagiriki na Roma ===
Assyria ilishindwa na [[Nebukadreza II]] wa [[Babeli]] na Dameski ikawa sehemu ya milki ya pili ya Babeli tangu 572 KK.
Assyria ilishindwa na [[Nebukadreza II]] wa [[Babeli]] na Dameski ikawa sehemu ya [[milki ya pili ya Babeli]] tangu [[572 KK]].


Mwaka 538 KK [[Uajemi]] iliPOchukua nafasi ya Babeli Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Syria.
Mwaka [[538 KK]], [[Uajemi]] ilipochukua nafasi ya Babeli, Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Syria.


Kufika kwa [[Aleksanda Mkuu]] tangu [[333 KK]] kulibadilisha siasa ya [[Mashariki ya Kati]] na Dameski ikawa sehemu ya dunia ya [[Kigiriki]].
Kufika kwa [[Aleksanda Mkuu]] tangu [[333 KK]] kulibadilisha [[siasa]] ya [[Mashariki ya Kati]] na Dameski ikawa sehemu ya ulimwengu wa [[Kigiriki]].


Wafuasi wa Aleksander waliendelea kushindania mji baadaye: mara ukawa upande wa [[Waptolemayo]] (Misri) mara upande wa [[Waseleukido]].
Wafuasi wa Aleksanda waliendelea kushindania mji huo baadaye: mara ukawa upande wa [[Waptolemayo]] (Misri) mara upande wa [[Waseleukido]].

Tangu 64 KK [[Dola la Roma]] likaingia Shamu. Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Kiroma likakua na kustawi. Mpangilio wa Waroma yameonekana hadi leo katika mji wa Kale wa Dameski hata kama majengo ya nyakati zile yamefichwa mita 5 chini ya uwiano wa mji wa leo. Barabara ya [[decumanus]] ya Kiroma, ambayo imetajwa katika Biblia kama "barabara iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" (Mdo 9,11), inaoonekana hadi leo.


Tangu [[64 KK]] [[Dola la Roma]] likaingia Shamu. Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Kiroma likakua na kustawi. Mpangilio wa [[Warumi|Waroma]] yameonekana hadi leo katika mji wa kale wa Dameski, hata kama majengo ya nyakati zile yamefichwa mita 5 chini ya uwiano wa mji wa leo. [[Barabara]] ya [[decumanus]] ya Kiroma, ambayo imetajwa katika Biblia kama "barabara iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" ([[Mdo]] 9:11), inaonekana hadi leo.
[[Picha:StJohnInUmmayad.jpg|thumb|250px|Maziara ya kichwa cha Yohane Mbatizaji ndani ya [[msikiti]] wa Muawiya inatembelewa na [[Waislamu]] na [[Wakristo]] vilevile.]]
[[Kaisari]] [[Theodosio I]] alijenga [[kanisa]] kubwa la Mt. Yohane lililotunza kichwa cha [[Yohane Mbatizaji]].
[[Kaisari]] [[Theodosio I]] alijenga [[kanisa]] kubwa la Mt. Yohane lililotunza kichwa cha [[Yohane Mbatizaji]].


[[Picha:StJohnInUmmayad.jpg|thumb|250px|Maziara ya kichwa cha Yohane Mbatizaji ndani ya [[msikiti]] wa Muawiya inatembelewa na [[Waislamu]] na [[Wakristo]] vilevile]].
=== Waarabu na Waosmani ===
=== Waarabu na Waosmani ===
Dameski ilivamiwa na jeshi la [[Waarabu]] Waislamu chini ya [[khalifa]] [[Umar I]] mwaka [[636]] [[B.K.]]. Kanisa la Mt. Yohane likabadilihswa kuwa msikiti mkuu. Baada ya ushindi wa [[Muawiyya]] mwaka 661 juu ya [[Hussain ibn Ali]] alichukua cheo cha khalifa akikaa Dameski. Hivyo mji ukawa mji mkuu wa milki ya [[Wamuawiya]] iliyotawala nchi kati ya [[Hispania]] hadi milango ya [[China]].
Dameski ilivamiwa na [[jeshi]] la [[Waarabu]] [[Waislamu]] chini ya [[khalifa]] [[Umar I]] mwaka [[636]] [[B.K.]]. Kanisa la Mt. Yohane likabadilishwa kuwa [[msikiti mkuu]].
Baada ya [[ushindi]] wa [[Muawiyya]] mwaka [[661]] juu ya [[Hussain ibn Ali]] alichukua [[cheo]] cha khalifa akikaa Dameski. Hivyo mji ukawa mji mkuu wa [[milki]] ya [[Wamuawiya]] iliyotawala kutoka [[Hispania]] hadi milango ya [[China]].
Khalifa wa mwisho wa Wamuawiya [[Marwan II]] alihamisha makao yake kwenda [[Haran]] katika [[Mesopotamia]] ya kaskazini. Marwan alishindwa baadaye na [[Abu al-`Abbās `Abdu'llāh as-Saffāh]] aliyeanzisha utawala wa makhalifa [[Waabbasi]] na kupeleka mji mkuu [[Baghdad]]. Dameski haikurudishwa tena umuhimu na heshima jinsi ilivyokuwa wakati wa Wamuawiya.
Khalifa wa mwisho wa Wamuawiya [[Marwan II]] alihamisha makao yake kwenda [[Haran]] katika [[Mesopotamia]] ya [[kaskazini]]. Marwan alishindwa baadaye na [[Abu al-`Abbās `Abdu'llāh as-Saffāh]] aliyeanzisha utawala wa makhalifa [[Waabbasi]] na kupeleka mji mkuu [[Baghdad]]. Dameski haikurudishiwa tena umuhimu na [[heshima]] jinsi ilivyokuwa wakati wa Wamuawiya.


Iliendelea kuwa maKao makuu ya kijimbo tu, isipokuwa kwa vipindi vifupi ilipokuwa mji huru tena pasipokuwa na utawala wenye nguvu ya makhalifa.
Iliendelea kuwa [[makao makuu]] ya kijimbo tu, isipokuwa kwa vipindi vifupi ilipokuwa mji huru tena, pasipo utawala wenye nguvu ya makhalifa.


[[Salah-ad-Din]] aliweka mji tena chini ya utawala wa Misri hadi [[1516]]. Mnamo 1400 Dameski ilivamiwa na kuharibiwa kabisa na [[Timur]].
[[Salah-ad-Din]] aliweka tena mji chini ya utawala wa Misri hadi [[1516]]. Mnamo [[1400]] Dameski ilivamiwa na kuharibiwa kabisa na [[Timur]].


Utawala wa Milki ya [[Waturuki]] Waosmani ulianza 1516 ukaendelea hadi 1918. Dameski ilijikuta tena mbali na mji mkuu wa milki huko [[Istanbul]]. Ilikuwa na umuhimu fulani kwa sababu misafara ya [[hija]] kwenda [[Maka]] ilianzia Dameski.
Utawala wa Milki ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] ulianza [[1516]] ukaendelea hadi [[1918]]. Dameski ilijikuta tena mbali na mji mkuu wa milki huko [[Istanbul]]. Ilikuwa na umuhimu fulani kwa sababu misafara ya [[hija]] kwenda [[Maka]] ilianzia Dameski.


Mwaka 1516, kiongozi Mmisrowa Dameski alikimbia mji. Baada siku chache, Sultan Selim I alifika mjini akaweka mji juu ya Waosmani. Wakati ambapo Selim I alirudi Dameski, alijenga msikiti mpya, tekkiye (ni kama soko), na kaburi ya Shaikh Muhi al Din ibn Arabi mtaani kwa Al Salhiyeh.
Mwaka 1516, kiongozi Mmisrowa Dameski alikimbia mji. Baada ya siku chache, [[Sultani]] [[Selim I]] alifika mjini akaweka mji juu ya Waosmani. Wakati ambapo Selim I alirudi Dameski, alijenga [[msikiti]] mpya, tekkiye (ni kama [[soko]]), na [[kaburi]] la [[Shaikh Muhi al Din ibn Arabi]] [[mtaa|mtaani]] kwa Al Salhiyeh.


Waosmani walitawala Dameski kwa muda ya miaka 400. Lakini baina mwaka 1832 na mwaka 1840 ilitawaliwa na Wamisri. Licha ya udogo wake na kwa sababu ya mahali kwake katika njia ya Hajj, Dameski ilikuwa mji muhimu kwa serikali ya Kiosmani. Mwaka 1560, Waosmani walijenga Tikkeyeh Suleymaniyeh ambapo wasafiri na wafanya Hajj waliweza kustarehe.
Waosmani walitawala Dameski kwa muda wa miaka 400, ila baina ya miaka [[1832]] na [[1840]] ilitawaliwa na [[Wamisri]]. Licha ya udogo wake, na kwa sababu ya mahali pake katika njia ya [[Hajj]], Dameski ilikuwa mji muhimu kwa [[serikali]] ya Kiosmani. Mwaka [[1560]], Waosmani walijenga Tikkeyeh Suleymaniyeh ambapo wasafiri na wafanya Hajj waliweza kustarehe.


Wakati wa utawala wa Waosmani, Wayahudi na Wakristo wa Dameski walikuwa dhimmi (watu siyo Waislamu na walilazimisha kulipa kodi tofauti kuliko Waislamu) na waliweza kuendelea na dini zao.
Wakati wa utawala wa Waosmani, [[Wayahudi]] na [[Wakristo]] wa Dameski waliweza kuendelea na [[dini]] zao wakiwa [[dhimmi]] (watu wasio Waislamu na waliolazimisha kulipa [[kodi]] kubwa kuliko ya Waislamu).


Mwanzo wa karne ya 20, uwazo wa utaifa wa Kiarabu ulianza Dameski kwa sababu ya sheria kutoka Istanbul ambazo zilitumiwa zibadilishe Dameski “mji mturuki” zaidi. Utekelezaji wa watu wenye elimu mwaka 1915 na mwaka 1916 uliongeza uwazo huu wa utaifa wa Kiarabu. Mwaka 1918, Mapinduzi ya Waarabu alianza nchini kwa Syria na baada ya wakati chache, Waosmani waliondoka Syria na Waingereza walichukua nchi. Faisal ibn Hussein alikuwa mfalme mpya wa Syria. Mwaka 1920, serikali iliandika katiba mpya ya kidemokrasia. Lakini, mwaka 1920, Mkutano wa Versailles aliutoa Ufaransa nchi ya Syria kama ukoloni wake. Ufaransa uliingia Syria mwaka 1920.
Mwanzo wa [[karne ya 20]], wazo la [[utaifa]] wa Kiarabu lilianza Dameski kwa sababu ya [[sheria]] kutoka Istanbul ambazo zilitumiwa zibadilishe Dameski iwe “mji wa Kituruki” zaidi. Utekelezaji wa watu wenye [[elimu]] mwaka [[1915]] na mwaka [[1916]] ulikuza hilo wazo la [[utaifa wa Kiarabu]]. Lakini [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ilivunja [[milki ya Waosmani]] ikaleta utawala wa [[Ufaransa]] katika Syria.


Mwaka [[1918]], [[mapinduzi]] ya Waarabu yalianza nchini Syria na baada ya muda mfupi, Waosmani waliondoka Syria na [[Waingereza]] walichukua nchi. [[Faisal ibn Hussein]] alikuwa [[mfalme]] mpya wa Syria. Mwaka [[1920]], serikali iliandika [[katiba]] mpya ya [[Demokrasia|kidemokrasia]]. Lakini, mwaka huohuo [[Mkutano wa Versailles]] aliutolea Ufaransa nchi ya Syria kama [[koloni]] lake. Hivyo Ufaransa uliingia Syria mwaka 1920.
Mwaka 1925, mapinduzi mapya ambayo ulianzishwa na Hauran (eneo la mashamba kusini ya nchi) yalifika Dameski. Wasyria walitaka uhuru wao. Lakini, Ufaransa ulitupa mabombu Dameski na waliacha mapinduzi. Wakati wa Vita Kuu ya Dunya II, Syria  jeshi la Ufaransa Uhuru na jeshi la Uingereza, walichukua Dameski. Baada ya Vita, Ufaransa ulitoa Syria uhuru na Dameski ilikuwa mji mkuu wa nchi mpya.


Mwaka [[1925]], mapinduzi mapya ambayo yalianzishwa na [[Hauran]] (eneo la [[Shamba|mashamba]] [[kusini]] mwa nchi) yalifika Dameski. Wasyria walitaka [[uhuru]] wao. Lakini, Ufaransa ulitupa [[bomu|mabomu]] Dameski na waliacha mapinduzi.
[[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ilivunja milki ya Waosmani ikaleta utawala wa [[Ufaransa]] katika Syria.

Wakati wa [[Vita vikuu vya pili vya dunia]] jeshi la [[Ufaransa huru]] na jeshi la Uingereza, walichukua Dameski. Baada ya [[vita]] hivyo, Ufaransa ulitoa uhuru kwa Syria na Dameski ikawa mji mkuu wa nchi mpya.


=== Mji Mkuu wa Syria huru ===
=== Mji Mkuu wa Syria huru ===
Uhuru wa Syria mwaka 1946 ulifanya Dameski mji mkuu wa nchi huru.
Uhuru wa Syria mwaka [[1946]] ulifanya Dameski mji mkuu wa nchi huru. Tangu hapo Dameski ikakua sana ikawa mji wa [[viwanda]] na [[biashara]].
Tangu hapo Dameski ikakua sana ikawa mji wa viwanda na [[biashara]].


== Uchumi ==
== Uchumi ==
Zamani, Dameski ulikuwa mji muhimu wa biashara. Mpaka sasa, biashara ni muhimu mjini. Kuna masoko na kampuni nyingi. Kwa sababu ya vita vya Syria, Dameski ni mji mkuu wa uchumi wa Syria.
Zamani, Dameski ulikuwa mji muhimu wa biashara. Mpaka sasa, biashara ni muhimu mjini. Kuna masoko na [[kampuni]] nyingi. Kwa sababu ya [[vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Syria]], Dameski ni mji mkuu wa [[uchumi]] wa Syria.


Kuna viwanda vya serikali mjini. Lakini viwanda vya binafsi ni vichache. Kwa sababu ya vita, kuna sasa viwanda vichache kuliko zamani. Lakini kwa sababu ya kuntengwa kwa nchi kutokana na sababu mbalimbali na pia kwa sababu ya vita vya uraia, hakuna uchumi wenye nguvu. Kuna ufakiri wingi na ukosefu wa ajira.
Kuna viwanda vya serikali mjini. Lakini viwanda vya binafsi ni vichache, tena sasa ni vichache kuliko zamani kwa sababu ya vita. Lakini kwa sababu ya kutengwa kwa nchi kutokana na sababu mbalimbali na pia kwa sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, hakuna uchumi wenye nguvu. Kuna [[ufukara]] mwingi na [[utovu wa ajira]].


== Taarifa za Wakazi ==
==Taarifa za wakazi==
Mwaka wa 2011, idadi ya watu ilikuwa 1,711,000. Lakini, kuna miji midogo karibu sana na Dameski kama Duma, Harasta, Daraya, Jaramana, na Tal. Kwa jumla kuna watu zaidi 5 milioni wanaoishi kanda ya Dameski. Hasa, baada ya vita vya uraia, kuna watu wengi kuliko kila mahali kwa Syria waliohamia Dameski. 
Mwaka wa [[2011]], idadi ya watu ilikuwa 1,711,000. Lakini, kuna miji midogo karibu sana na Dameski kama [[Duma]], [[Harasta]], [[Daraya]], [[Jaramana]], na [[Tal]]. Kwa jumla kuna watu zaidi ya milioni 5 wanaoishi katika kanda ya Dameski. Hasa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, kuna watu wengi kuliko kila mahali pa Syria waliohamia Dameski. 


Dameski kuna mchanganyiko wa watu. Karibu watu wote ni  Waarabu na Waislamu, hasa Wasunni. Lakini, kuna watu wakristo, waalawi, waarmenia, na kadhalika. Lugha nyingi zinazosemwa mjini ni kiarmenia, kiarabu, kifaransa, na kiaramaic. Zamani, palikuwa na wayahudi wengi mjini lakini waliondoka baada ya kuanzishwa kwa  nchi ya Israel.
Dameski kuna mchanganyiko wa watu. Karibu watu wote ni Waarabu Waislamu, hasa [[Wasunni]]. Lakini, kuna watu walio Wakristo, [[Waalawi]], [[Waarmenia]] na kadhalika. Lugha nyingi zinazosemwa mjini ni Kiarabu, [[Kifaransa]], [[Kiarmenia]] na [[Kiaramu]]. Zamani, palikuwa na Wayahudi wengi mjini lakini waliondoka baada ya kuanzishwa kwa nchi ya [[Israel]].


==Mji wa Kale na Utamaduni==
==Mji wa Kale na Utamaduni==
Mji wa Dameski wa Kale ni mji wa kipekeeduniani. Mji unajulikana kwa barabara ndogo zake, zinapopatikana masoko, makasri, misikiti, makanisa yake. Mji wa kale ni mchanganyiko wa magofu ya Warumi, Waosmani, and Wafaransa. Maisha ndani ya mji wa Dameski yafanana na maisha ya watu wa zamani.
Mji wa Dameski wa Kale ni mji wa pekee duniani. Mji unajulikana kwa [[barabara]] ndogo zake, zinapopatikana na masoko, [[kasri|makasri]], misikiti, makanisa yake. Mji wa kale ni mchanganyiko wa [[magofu]] ya Warumi, Waosmani, and Wafaransa. [[Maisha]] ndani ya mji wa Dameski yanafanana na maisha ya watu wa zamani.


=== Milango saba ya mji: ===
=== Milango saba ya mji: ===
Mstari 130: Mstari 132:
Bab al-Jabiyeh 
Bab al-Jabiyeh 


=== Makanisa maalum: ===
=== Makanisa maalum ===
Kanisa la Mtakatifu Paul
Kanisa la Mtakatifu Paulo


Nyumba ya Mtakatifu Ananias
Nyumba ya Mtakatifu Anania


Kanisa la Kimarimia
Kanisa la Kimarimia
Mstari 139: Mstari 141:
Kanisa Katoliki la Kirumi
Kanisa Katoliki la Kirumi


Kanisa la Mtakatifu John
Kanisa la Mtakatifu Yohane


Kanisa Ortodoks la Mtakatifu George 
Kanisa la Kiorthodoksi la Mtakatifu George 


=== Misikiti Maalum ===
=== Misikiti maalum ===
Msitiki wa Waomaya (Mahali ambapo ni kaburi ya Salaheddin, shujaa mwislamu maalum sana)
Msitiki wa Waomaya (Mahali lilipo kaburi la Salaheddin, [[shujaa]] Mwislamu maalum sana)


Msitiki wa Sayyida Ruqaya
Msitiki wa Sayyida Ruqaya
Mstari 159: Mstari 161:
Khan Suleyman Pasha 
Khan Suleyman Pasha 


=== Nyuma muhimu na Makasri ===
=== Nyumba muhimu na makasri ===
Kasri la Azem
Kasri la Azem


Mstari 169: Mstari 171:


==Elimu==
==Elimu==
Dameski ni pahali pa elimu Syria. Chuo Kikuu cha Dameski ni chuo kikuu kikubwa na ya zamani zaidi nchini. Baada ya sheria, ambaye iliruhusu vyuo vikuu vya binafsi, kuna vyuo vikuu vipya kama: Syrian Virtual University, Chuo Kikuu cha Qalamoun, n.k.
Dameski ni pahali pa elimu Syria. [[Chuo Kikuu cha Dameski]] ni [[chuo kikuu]] kikubwa na cha zamani zaidi nchini. Baada ya sheria iliyoruhusu vyuo vikuu vya binafsi, kuna vyuo vikuu vipya kama: Syrian Virtual University, Chuo Kikuu cha Qalamoun, n.k.


==Usafirishaji==
==Usafirishaji==
Uwanja wa ndege mkuu ni Uwanja wa Ndege wa Dameski uko karibu na mji. Lakini, kwa sababu ya vita vya uraia, kuna ndege chache tu ambazo zinasafiri Dameski.
[[Uwanja wa ndege]] mkuu ni Uwanja wa Ndege wa Dameski ambao uko karibu na mji. Lakini sasa, kwa sababu ya vita, kuna [[Ndege (uanahewa)|ndege]] chache tu ambazo zinasafiri Dameski.

Hakuna huduma kubwa za usafirishaji. Kuna njia za [[basi]] ndogo. Wakazi wa mji wanategemea “microbus.” Microbus ni kama matatu ya [[Kenya]] au [[daladala]] za [[Tanzania]]. Huko Dameski, kuna njia zaidi ya [[mia]] [[moja]] ya microbus . Microbus zinaenda kila mahali mjini.


Kuna pia shirika la “Chemin de Fer Syriens” ambalo ni shirika la [[treni]]. Lakini baada ya vita vya uraia, hakuna treni zozote nchini.
Hakuna huduma za usafirishaji kubwa. Kuna njia za basi ndogo. Wakazi wa mji wanategemea “microbus.” Microbus ni kama matatu ya Kenya au dala dala za Tanzania. Dameski, kuna njia zaidi ya mia moja ya microbus mjini. Microbus zinaenda kila mahali kwa mji.


{{Mbegu-jio-Asia}}
Kuna pia shirika la “Chemin de Fer Syriens” ambalo ni shirika la treni. Lakini baada ya vita vya uraia, hakuna treni zo zote nchini.{{Mbegu-jio-Asia}}


[[Jamii:Miji ya Syria]]
[[Jamii:Miji ya Syria]]

Pitio la 13:32, 23 Juni 2017

Dameski - دمشق
Damaskus bei Nacht, fotografiert vom Dschabal Qasiun aus; Die grünen Punkte sind Minarette
Habari za msingi
Mkoa Dameski
Anwani ya kijiografia 33°30'35" N; 36°18'33"E
Kimo 690 m juu ya UB
Eneo 105 km²
Wakazi 1.580.909 (2006)
Msongamano wa watu watu 15.056/km²
Simu 963 (nchi), 11 (mji)
Lage

Dameski (pia: Damasko, Damaskus, Damascus; kutoka Kiarabu: دمشق "dimashk") ni mji mkuu wa Syria, pia ni mji mkubwa wa nchi hiyo wenye wakazi milioni 4.5.

Dameski ni kati ya miji ya kale kabisa duniani iliyoendelea kukaliwa mahali palepale: inaaminiwa imekaliwa tangu miaka 8,000 au zaidi.

Jina

Nchini mji huitwa mara nyingi الشام ("ash-shām"). Jina hilo latumiwa na Waarabu wengine kwa nchi yote ya Syria pia. Kihistoria "Shamu" ilikuwa jina la nchi yote upande wa mashariki wa bahari ya Mediteranea.

Haijulikani kutoka lugha gani jina la “Dameski” lilikuja. Dameski inaitwa na wenyeji wake kwa jina la “Sham” pia au wakati mwingine “al Fayhaa” au "Madinat al Yasamin", yaani “Mji wa Yasimini.”

Jiografia

Dameski iko takriban kilometa 80 mashariki kwa pwani ya Mediteranea na kilometa 30 kutoka mpaka kati ya Syria na Lebanoni kando ya mto Barada. Iko kwenye kimo cha mita 680 juu ya UB.

Upande wa magharibi ni milima ya Lebanoni Ndogo inayozuia mawingu ya mvua kufika kutoka Mediteranea. Upande wa mashariki linaanza jangwa.

Kati ya mji, kuna mito midogo mingi, na mto mkuu ndio Barada. Zamani, palikuwa na bustani nyingi sehemu zote za nchi. Lakini kwa sababu ya uchafuzi wa mazingira na idadi ya watu ambayo imekuwa inapanda, siku hizi bustani ni chache na pia hakuna maji mengi mitoni kwa mji.

Mji wa kisasa una eneo la km2 105. Eneo la km2 77 limetumiwa kwa majengo, makazi na mashamba, na eneo lililobaki ni mlima wa Qassioun.

Hali ya hewa

Kwa sababu ya milima ya Anti-Lebanon, kuna mvua chache mjini. Wakati wa baridi, kuna mvua na theluji mara kwa mara. Wakati wa joto, hali ya hewa ni kavu na joto.

Historia

Akiolojia imeonyesha makazi ya binadamu katika eneo la Dameski tangu milenia ya 5 KK.

Utawala wa Misri

Mji ulitajwa mara ya kwanza kimaandishi kwa jina la "Tamasqu" (tmsq) katika taarifa za Misri ya Kale wakati wa Farao Thutmosis III (1479 KK - 1425 KK). Ilikuwa chini ya utawala wa Misri hadi mnamo mwaka 1100 KK.

Ufalme wa Aramu

Tangu 1000 KK mji ukawa kitovu cha ufalme wa Aramu-Dameski unaotajwa mara nyingi katika Biblia pia. Baada ya kushindana mara nyingi na Israeli ulikwisha katika vita dhidi ya Assyria mwaka 732 KK.

Utawala wa Babeli, Uajemi, Wagiriki na Roma

Assyria ilishindwa na Nebukadreza II wa Babeli na Dameski ikawa sehemu ya milki ya pili ya Babeli tangu 572 KK.

Mwaka 538 KK, Uajemi ilipochukua nafasi ya Babeli, Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Syria.

Kufika kwa Aleksanda Mkuu tangu 333 KK kulibadilisha siasa ya Mashariki ya Kati na Dameski ikawa sehemu ya ulimwengu wa Kigiriki.

Wafuasi wa Aleksanda waliendelea kushindania mji huo baadaye: mara ukawa upande wa Waptolemayo (Misri) mara upande wa Waseleukido.

Tangu 64 KK Dola la Roma likaingia Shamu. Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Kiroma likakua na kustawi. Mpangilio wa Waroma yameonekana hadi leo katika mji wa kale wa Dameski, hata kama majengo ya nyakati zile yamefichwa mita 5 chini ya uwiano wa mji wa leo. Barabara ya decumanus ya Kiroma, ambayo imetajwa katika Biblia kama "barabara iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" (Mdo 9:11), inaonekana hadi leo.

Maziara ya kichwa cha Yohane Mbatizaji ndani ya msikiti wa Muawiya inatembelewa na Waislamu na Wakristo vilevile.

Kaisari Theodosio I alijenga kanisa kubwa la Mt. Yohane lililotunza kichwa cha Yohane Mbatizaji.

Waarabu na Waosmani

Dameski ilivamiwa na jeshi la Waarabu Waislamu chini ya khalifa Umar I mwaka 636 B.K.. Kanisa la Mt. Yohane likabadilishwa kuwa msikiti mkuu.

Baada ya ushindi wa Muawiyya mwaka 661 juu ya Hussain ibn Ali alichukua cheo cha khalifa akikaa Dameski. Hivyo mji ukawa mji mkuu wa milki ya Wamuawiya iliyotawala kutoka Hispania hadi milango ya China.

Khalifa wa mwisho wa Wamuawiya Marwan II alihamisha makao yake kwenda Haran katika Mesopotamia ya kaskazini. Marwan alishindwa baadaye na Abu al-`Abbās `Abdu'llāh as-Saffāh aliyeanzisha utawala wa makhalifa Waabbasi na kupeleka mji mkuu Baghdad. Dameski haikurudishiwa tena umuhimu na heshima jinsi ilivyokuwa wakati wa Wamuawiya.

Iliendelea kuwa makao makuu ya kijimbo tu, isipokuwa kwa vipindi vifupi ilipokuwa mji huru tena, pasipo utawala wenye nguvu ya makhalifa.

Salah-ad-Din aliweka tena mji chini ya utawala wa Misri hadi 1516. Mnamo 1400 Dameski ilivamiwa na kuharibiwa kabisa na Timur.

Utawala wa Milki ya Waturuki Waosmani ulianza 1516 ukaendelea hadi 1918. Dameski ilijikuta tena mbali na mji mkuu wa milki huko Istanbul. Ilikuwa na umuhimu fulani kwa sababu misafara ya hija kwenda Maka ilianzia Dameski.

Mwaka 1516, kiongozi Mmisrowa Dameski alikimbia mji. Baada ya siku chache, Sultani Selim I alifika mjini akaweka mji juu ya Waosmani. Wakati ambapo Selim I alirudi Dameski, alijenga msikiti mpya, tekkiye (ni kama soko), na kaburi la Shaikh Muhi al Din ibn Arabi mtaani kwa Al Salhiyeh.

Waosmani walitawala Dameski kwa muda wa miaka 400, ila baina ya miaka 1832 na 1840 ilitawaliwa na Wamisri. Licha ya udogo wake, na kwa sababu ya mahali pake katika njia ya Hajj, Dameski ilikuwa mji muhimu kwa serikali ya Kiosmani. Mwaka 1560, Waosmani walijenga Tikkeyeh Suleymaniyeh ambapo wasafiri na wafanya Hajj waliweza kustarehe.

Wakati wa utawala wa Waosmani, Wayahudi na Wakristo wa Dameski waliweza kuendelea na dini zao wakiwa dhimmi (watu wasio Waislamu na waliolazimisha kulipa kodi kubwa kuliko ya Waislamu).

Mwanzo wa karne ya 20, wazo la utaifa wa Kiarabu lilianza Dameski kwa sababu ya sheria kutoka Istanbul ambazo zilitumiwa zibadilishe Dameski iwe “mji wa Kituruki” zaidi. Utekelezaji wa watu wenye elimu mwaka 1915 na mwaka 1916 ulikuza hilo wazo la utaifa wa Kiarabu. Lakini Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilivunja milki ya Waosmani ikaleta utawala wa Ufaransa katika Syria.

Mwaka 1918, mapinduzi ya Waarabu yalianza nchini Syria na baada ya muda mfupi, Waosmani waliondoka Syria na Waingereza walichukua nchi. Faisal ibn Hussein alikuwa mfalme mpya wa Syria. Mwaka 1920, serikali iliandika katiba mpya ya kidemokrasia. Lakini, mwaka huohuo Mkutano wa Versailles aliutolea Ufaransa nchi ya Syria kama koloni lake. Hivyo Ufaransa uliingia Syria mwaka 1920.

Mwaka 1925, mapinduzi mapya ambayo yalianzishwa na Hauran (eneo la mashamba kusini mwa nchi) yalifika Dameski. Wasyria walitaka uhuru wao. Lakini, Ufaransa ulitupa mabomu Dameski na waliacha mapinduzi.

Wakati wa Vita vikuu vya pili vya dunia jeshi la Ufaransa huru na jeshi la Uingereza, walichukua Dameski. Baada ya vita hivyo, Ufaransa ulitoa uhuru kwa Syria na Dameski ikawa mji mkuu wa nchi mpya.

Mji Mkuu wa Syria huru

Uhuru wa Syria mwaka 1946 ulifanya Dameski mji mkuu wa nchi huru. Tangu hapo Dameski ikakua sana ikawa mji wa viwanda na biashara.

Uchumi

Zamani, Dameski ulikuwa mji muhimu wa biashara. Mpaka sasa, biashara ni muhimu mjini. Kuna masoko na kampuni nyingi. Kwa sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Syria, Dameski ni mji mkuu wa uchumi wa Syria.

Kuna viwanda vya serikali mjini. Lakini viwanda vya binafsi ni vichache, tena sasa ni vichache kuliko zamani kwa sababu ya vita. Lakini kwa sababu ya kutengwa kwa nchi kutokana na sababu mbalimbali na pia kwa sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, hakuna uchumi wenye nguvu. Kuna ufukara mwingi na utovu wa ajira.

Taarifa za wakazi

Mwaka wa 2011, idadi ya watu ilikuwa 1,711,000. Lakini, kuna miji midogo karibu sana na Dameski kama Duma, Harasta, Daraya, Jaramana, na Tal. Kwa jumla kuna watu zaidi ya milioni 5 wanaoishi katika kanda ya Dameski. Hasa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, kuna watu wengi kuliko kila mahali pa Syria waliohamia Dameski. 

Dameski kuna mchanganyiko wa watu. Karibu watu wote ni Waarabu Waislamu, hasa Wasunni. Lakini, kuna watu walio Wakristo, Waalawi, Waarmenia na kadhalika. Lugha nyingi zinazosemwa mjini ni Kiarabu, Kifaransa, Kiarmenia na Kiaramu. Zamani, palikuwa na Wayahudi wengi mjini lakini waliondoka baada ya kuanzishwa kwa nchi ya Israel.

Mji wa Kale na Utamaduni

Mji wa Dameski wa Kale ni mji wa pekee duniani. Mji unajulikana kwa barabara ndogo zake, zinapopatikana na masoko, makasri, misikiti, makanisa yake. Mji wa kale ni mchanganyiko wa magofu ya Warumi, Waosmani, and Wafaransa. Maisha ndani ya mji wa Dameski yanafanana na maisha ya watu wa zamani.

Milango saba ya mji: 

Bab al-Faradis

Mlango al-Salam

Bab Tuma

Bab Sharqi

Bab Kisan

Bab al-Saghir

Bab al-Jabiyeh 

Makanisa maalum

Kanisa la Mtakatifu Paulo

Nyumba ya Mtakatifu Anania

Kanisa la Kimarimia

Kanisa Katoliki la Kirumi

Kanisa la Mtakatifu Yohane

Kanisa la Kiorthodoksi la Mtakatifu George 

Misikiti maalum

Msitiki wa Waomaya (Mahali lilipo kaburi la Salaheddin, shujaa Mwislamu maalum sana)

Msitiki wa Sayyida Ruqaya

Msikiti wa Sinaniya

Msikiti wa Toba 

Khan (mahali ambapo wasafiri waliweza kustarehe)

Khan Jaqmaq

Khan Asaad Pasha

Khan Suleyman Pasha 

Nyumba muhimu na makasri

Kasri la Azem

Beit al-Aqqad

Maktab Anbar

Beit al-Mamlouka

Elimu

Dameski ni pahali pa elimu Syria. Chuo Kikuu cha Dameski ni chuo kikuu kikubwa na cha zamani zaidi nchini. Baada ya sheria iliyoruhusu vyuo vikuu vya binafsi, kuna vyuo vikuu vipya kama: Syrian Virtual University, Chuo Kikuu cha Qalamoun, n.k.

Usafirishaji

Uwanja wa ndege mkuu ni Uwanja wa Ndege wa Dameski ambao uko karibu na mji. Lakini sasa, kwa sababu ya vita, kuna ndege chache tu ambazo zinasafiri Dameski.

Hakuna huduma kubwa za usafirishaji. Kuna njia za basi ndogo. Wakazi wa mji wanategemea “microbus.” Microbus ni kama matatu ya Kenya au daladala za Tanzania. Huko Dameski, kuna njia zaidi ya mia moja ya microbus . Microbus zinaenda kila mahali mjini.

Kuna pia shirika la “Chemin de Fer Syriens” ambalo ni shirika la treni. Lakini baada ya vita vya uraia, hakuna treni zozote nchini.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dameski kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.