Mersin
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Mersin)
Mersin | |
Nchi | Uturuki |
---|---|
Mkoa | Mediterenea |
Jimbo | Mersin |
Idadi ya wakazi (2007) | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,275,216 |
Tovuti: Mersin |
Mersin ni jiji na bandari yenye kazi nyingi ya nchini Uturuki. Jiji lipo katika pwani ya mjini kusini mwa Mediteranea. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mersin. Takriban watu 2,275,216 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 100 juu ya usawa wa bahari.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Blue Guide, Turkey, The Aegean and Mediterranean Coasts (ISBN 0-393-30489-2), pp. 556–557.
- Blood-Dark Track: A Family History (Granta Books) by Joseph O'Neill, contains a detailed and evocative history of the city, viewed from the perspective of a Christian Syrian family long resident in Mersin.
- Richard Talbert, Barrington Atlas of the Greek and Roman World, (ISBN 0-691-03169-X), p. 66
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Ministry of Tourism and Culture - Mersin Page Ilihifadhiwa 2 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- Princeton Encyclopedia of Classical Sites
- Catholic Encyclopedia "Zephyrium"
- Mersin Chamber of Commerce and Industry
- Mersin Guide Ilihifadhiwa 10 Julai 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mersin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |