3 Novemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Novemba 3)
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Novemba ni siku ya 307 ya mwaka (ya 308 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 58.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1801 - Vincenzo Bellini, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 1852 - Mutsuhito (Meiji), Mfalme Mkuu wa Japani
- 1909 - James Reston, mwandishi wa habari kutoka Marekani
- 1921 - Charles Bronson, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1933 - Michael Dukakis, mwanasiasa wa Marekani
- 1950 - James Rothman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2013
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1584 - Mtakatifu Karoli Borromeo, kardinali askofu mkuu wa Milano
- 1639 - Mtakatifu Martin de Porres, O.P., bradha kutoka Peru
- 1954 - Henri Matisse, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1996 - Jean Bedel Bokassa, Rais (1966-1976) na Kaisari (1976-1979) ya Afrika ya Kati
- 2007 - Suzanne Bachelard, mwanafalsafa wa Ufaransa
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Martin de Porres, Jermano, Theofilo na Sirili, Libertino, Papulo, Valentini na Hilari, Gwenaeli, Silvia wa Roma, Pirmini, Joanisi, Odrada, Ermengaudi, Berardo wa Wamarsi, Ida, Petro Fransisko Neron n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |