Suzanne Bachelard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Suzanne Bachelard (18 Oktoba 1919 - 3 Novemba 2007, jiji la Paris) alikuwa ni mwanafilosofia na mtaaluma wa Ufaransa.[1] Mwaka 1958, alichapisha kitabu kilichofahamika kwa jina la La Conscience de la rationalité. Na pia alikua ni mtoto wa Mwanafilosofi aliyefamika kwa jina la Gaston Bachelard, ambaye alimhariria kitabu cha Fragments d'une Poétique du Feu.[onesha uthibitisho] na pia alifundisha katika shule ya Jacques Derrida akiwa kama msaidizi wa baba yake.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. (1996) Biographical Dictionary of Twentieth-Century Philosophers. London: Routledge, 42. ISBN 0415060435. 
  2. Bennington (1991) p.330

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suzanne Bachelard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.