Nenda kwa yaliyomo

Ida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Ida, O.S.B. (kwa Kijerumani Idda, Ita, Itha, Itta, Ydda, Judith, Gutta; Kirchberg, Ujerumani, 1140 hivi – Fischingen, leo nchini Uswisi, 3 Novemba 1226) alikuwa mke wa kabaila, halafu mmonaki akiishi kama mkaapweke karibu na monasteri ya Kibenedikto alipofariki [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Benedikto XIII mwaka 1724.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Novemba [2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Historical-Biographical Lexicon of Switzerland (kwa Kijerumani). Juz. la IV. Neuchâtel. 1927. uk. 330.
  • "Sankt-Galler Geschichte". Sanggale [Saint-Gallen History] (kwa Kijerumani). Juz. la I. 2003. ISBN 3-908048-43-5.
  • Büchler, Hans (1993). Das Toggenburg [The Toggenburg] (kwa Kijerumani). Niggli. ISBN 3-7212-0256-2.
  • Collins, David J. (2008). "The Holy Recluses". Reforming Saints: Saints' Lives and Their Authors in Germany, 1470-1530. Oxford Studies in Historical Theology (kwa Kijerumani). Oxford: Oxford University Press. ku. 51–74.
  • Canisius, SJ, Peter (1996). I fioretti di Santa Ida di Fischingen [The Florets of Saint Ida of Fischingen] (kwa Kiitaliano). Translation introduction and appendix by Ilsemarie Brandmair Dallera. Preface and lexicological tables by Roberto Busa, SJ. Brescia: Morcelliana.
  • Meyer, Bruno (1974–1975). "Die heilige Ita von Fischingen". Thurgauische Beiträge zur vaterländischen Geschichte [Thurgauische Contributions to Patriotic History] [The Holy Ita of Fischingen] (kwa Kijerumani). Juz. la CXII. ku. 21–97. doi:10.5169/seals-585258.
  • William-Krapp, Werner. "Ida von Toggenburg". Verfasserlexikon [Author's Lexicon] [Ida of Toggenburg] (kwa Kijerumani). Juz. la IV. ku. 359–361.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.