James Reston
Mandhari
James Reston | |
Amezaliwa | James Barrett Reston 3 Novemba 1909 Uskoti |
---|---|
Amekufa | 6 Disemba 1995 Washington, D.C., Marekani |
Kazi yake | Mwandishi |
Ndoa | Sarah Jane "Sally" Fulton |
Watoto | James Reston Jr. Thomas Reston Richard Reston |
James Barrett Reston (3 Novemba 1909 – 6 Desemba 1995) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa Uskoti. Mwaka wa 1945 na tena 1957, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa insha zake katika gazeti la New York Times.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James Reston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |