Michael Dukakis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michael Dukakis, 1976

Michael Dukakis (amezaliwa 3 Novemba, 1933) ni mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia. Kuanzia 1975 hadi 1979 na tena kuanzia 1983 hadi 1991 alikuwa gavana wa jimbo la Massachusetts. Mwaka wa 1988 aligombea urais lakini akashindwa na George H. Bush.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Dukakis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.