Manisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 23:11, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 47 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q147089 (translate me))


Manisa
Nchi Uturuki
Mkoa Aegean
Jimbo Manisa
Idadi ya wakazi (2007)
 - Wakazi kwa ujumla 1,319,920
Tovuti:  www.manisa.bel.tr

Manisa (Kiosmani Kituruki: ماغنيسا Manisa; Kigiriki: Μαγνησία, Kilatini: Magnesia) ni jiji kubwa la Uturuki katika Kanda ya Aegean na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Manisa. Kihistoria, mji mpi ulikuwa ukiitwa Magnesia, na zaidi uliitwa Magnesia ad Sipylum, kwa kufuatia jina la Mlima Sipylus (Mount Spil) ambao unaangaza juu ya mji. Takriban watu 1,319,920 wanaishi mjini hapa.

Vyanzo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manisa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.