Manisa
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Manisa)
Manisa | |
Nchi | Uturuki |
---|---|
Mkoa | Aegean |
Jimbo | Manisa |
Idadi ya wakazi (2007) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,319,920 |
Tovuti: www.manisa.bel.tr |
Manisa (Kiosmani Kituruki: ماغنيسا Manisa; Kigiriki: Μαγνησία, Kilatini: Magnesia) ni jiji kubwa la Uturuki katika Kanda ya Aegean na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Manisa. Kihistoria, mji mpi ulikuwa ukiitwa Magnesia, na zaidi uliitwa Magnesia ad Sipylum, kwa kufuatia jina la Mlima Sipylus (Mount Spil) ambao unaangaza juu ya mji. Takriban watu 1,319,920 wanaishi mjini hapa.
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Manisa 2007 484 p. ISBN 978-975-575-800-5 (kwa Turkish). Governorship of Manisa. 2007.
{{cite book}}
: Unknown parameter|month=
ignored (help)CS1 maint: unrecognized language (link) - George E. Bean. Aegean Turkey: An archaeological guide ISBN 978-0510032005, 1967. Ernest Benn, London.
- Rosie Ayliffe and co. (2003). The rough guide to Turkey p. 313 ISBN 1843530716. Rough Guides.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Celal Bayar University Archived 19 Septemba 2018 at the Wayback Machine.
- Living in Manisa Archived 8 Mei 2021 at the Wayback Machine.
- Mesir Festival web site - English language pages Archived 11 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Jewish community of Manisa
- Lost City (Continent) Atlantis was in Manisa? Archived 16 Septemba 2008 at the Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manisa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |