Sala na kazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bango lenye kaulimbiu Ora et labora imeandikwa kwa dhahabu.

Sala na kazi (kwa Kilatini ora et labora, "sali na kufanya kazi") ni kaulimbiu ya wamonaki Wabenedikto iliyoenea katika Kanisa kuanzia karne za kati hadi leo.[1]

Benedikto wa Nursia alitambua kwamba sala na kazi zinatakiwa kusaidiana katika maisha ya binadamu[2], kwa kuwa ni umoja wa roho na mwili.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Anselm Grün, Linda M. Maloney (2006). Benedict of Nursia 2006 ISBN 0-8146-2910-5 page 30
  2. Lonni Collins Pratt, Daniel Homan (2001). Benedict's Way: An Ancient Monk's Insights for a Balanced Life ISBN 0-8294-1787-7 page 47

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Ora et labora: prayer and action as cooperation with God by Robert Field, University of the South, 1993
Christianity Symbol.png Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sala na kazi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.