Jioni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jioni (yaani "kwenye jio" la usiku) ni kipindi cha siku ambacho mwanga wa mchana unazidi kupungua hata kuingia kwa giza la usiku.

Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa kuacha shughuli mbalimbali na kujiandaa kwa usingizi, ingawa uenezi wa taa umebadilisha sana ratiba ya watu wengi.

Katika dini mbalimbali, ni wakati muhimu wa sala.

Alfajiri huko Taritari, Nueva Esparta, Venezuela Vipindi vya siku Kutwa huko Knysna, Afrika Kusini

UsikuUsiku katiUsiku wa mananeAlfajiriPambazukoAsubuhiAdhuhuriMchanaAlasiriJioniMachweo