Usiku kati
Mandhari
Usiku kati ni nukta inayotenganisha siku moja na nyingine katika hesabu ya binadamu.
Inatokea kila baada ya saa 24.
Kwa namna ya pekee inaadhimishwa pale inapotenganisha siku ya mwisho ya mwaka, karne au milenia na ile ambayo ni mwanzo wa mwaka, karne au milenia nyingine.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |