Nenda kwa yaliyomo

Usiku wa manane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dunia inavyoangazwa na taa usiku, hasa kwenye miji na maendeleo makubwa.

Usiku wa manane (pia: usiku wa manani) ni kipindi cha usiku baada ya masaa 8 hivi ya giza.

Mara nyingi kinaendana na kuvika kwa jogoo kwa mara ya kwanza katika siku mpya.

Katika dini mbalimbali, hususan Ukristo, ni wakati muhimu wa sala, hasa kwa wale wanaokesha.

Alfajiri huko Taritari, Nueva Esparta, Venezuela Vipindi vya siku Kutwa huko Knysna, Afrika Kusini

UsikuUsiku katiUsiku wa mananeAlfajiriPambazukoAsubuhiAdhuhuriMchanaAlasiriJioniMachweo