Adhuhuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mandhari wakati wa adhuhuri.
Saa mnarani inayoonyesha adhuhuri.

Adhuhuri (kutoka Kiarabu الظهر) ni kipindi cha mchana ambapo jua liko juu zaidi. Kadiri ya Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza ya TUKI (Taasisi ya Utafiti wa Kiswahili maarufu kama Institute of Kiswahili Research ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania), toleo la mwaka 2001, adhuhuri ni kipindi kati ya saa sita mchana na saa nane za mchana.

Kinyume chake ni usiku kati.

Kwa kawaida binadamu anatumia nafasi hiyo kupumzika kidogo na kupata chakula kabla hajaendelea na kazi.

Vivyo hivyo, dini mbalimbali, hasa Ukristo na Uislamu, zinamuelekeza kumkumbuka zaidi Mungu kwa kusali kidogo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Alfajiri huko Taritari, Nueva Esparta, Venezuela Vipindi vya siku Kutwa huko Knysna, Afrika Kusini

UsikuUsiku katiUsiku wa mananeAlfajiriPambazukoAsubuhiAdhuhuriMchanaAlasiriJioniMachweo