Machweo
Jump to navigation
Jump to search
Machweo (au Magharibi) ni kipindi cha siku ambapo jua linatoweka kabisa kwa macho ya watu wa eneo fulani.
Wakati huo rangi nyekundu inatawala mandhari.
Binadamu na wanyama wengi wakati huo wanakwenda mahali pa kupumzika usiku.
Dini mbalimbali zinaagiza sala kwa wakati huo, kwa mfano Ukristo na Uislamu.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Full physical explanation in simple terms
- The colors of twilight and sunset
- Complete Sun and Moon Data for One Day by The United States Naval Observatory
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |