Shughuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bodaboda (Mwendesha pikipiki) akiwa amebeba abiria mwenye kupeleka bidhaa (Mbuzi) sokoni
Shughuli ya ujenzi wa barabara ikiendelea Changanyikeni jijini Dar es salaam

Shughuli ni kazi yoyote anayoifanya mwanadamu, hasa inayompatia kipato cha kukidhi mahitaji yake ya kila siku.

Makala hii kuhusu "Shughuli" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.