Tarafa ya Bouaké

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Bouaké (wilaya))


auto
Tarafa ya Bouaké
Mahali paTarafa ya Bouaké
Mahali paTarafa ya Bouaké
Eneo la Tafara ya Bouaké.
Imara: 2011
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Wilaya Vallée du Bandama
Mkoa Gbêkê
Serikali[1]
 - Prefect Konin Aka
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 680,694
GMT (UTC+0)

Tarafa ya Bouaké (kwa Kifaransa: département de Bouaké) ni moja kati ya tarafa nne za Mkoa wa Gbêkê ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 680,694.

Makao makuu ya eneo hilo ni Bouaké.

Tarafa ya Bouaké sasa imegawanywa katika kata zifuatazo:

  • Bouaké-SP
  • Bouaké-Ville
  • Bounda
  • Brobo
  • Mamini
  • N'Djébonouan..

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.