Mkoa wa Gôh
Jump to navigation
Jump to search
Mkoa wa Gôh | |
Mahali pa Mkoa wa Gôh (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Gôh-Djiboua |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Gôh-Djiboua |
Serikali [1] | |
- Prefect | N`Zi Kanga Remi |
- Rais wa Baraza | Joachim Djédjé Bagnon |
Eneo [2] | |
- Mkoa | 7,327 km² |
Mkoa wa Gôh (kwa Kifaransa: Région du Gôh) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika kusini ya kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Gagnoa. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 876,117.
Gôh kwa sasa imegawanywa katika wilaya mbili:
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ " Gôh", gouv.ci, accessed 23 February 2016.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gôh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |