Mkoa wa Kabadougou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa Kabadougou
Mahali pa Mkoa wa Kabadougou (bluu nyeusi) katika Cote d'Ivoire
Mahali pa Mkoa wa Kabadougou (bluu nyeusi)
katika Cote d'Ivoire
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Denguélé
Serikali [1]
 - Prefect Amani Yao Michel
 - Rais wa Baraza Kone Souleymane
Eneo [2]
 - Mkoa 14,000 km²

Mkoa wa Kabadougou (kwa Kifaransa: Région du Kabadougou) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Kaskazini magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Odienné. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 193,364.

Bafing kwa sasa imegawanywa katika Wilaya tano:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Kabadougou", gouv.ci, accessed 23 February 2016.