Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Comoé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jimbo la Comoé
Jimbo la Comoé is located in Côte d'Ivoire
Jimbo la Comoé
Jimbo la Comoé

Eneo katika Côte d'Ivoire

Majiranukta: 6°4′34″N 3°18′29″W / 6.07611°N 3.30806°W / 6.07611; -3.30806
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Comoé
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,203,052[1]

Jimbo la Comoé (kwa Kifaransa: District du Comoé) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko mashariki mwa nchi [1].

Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,203,052[1].

Makao makuu yako Abengourou.

  1. 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.