Wilaya ya Aboisso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya ya Aboisso
Eneo la Wilaya ya Aboisso.
Eneo la Wilaya ya Aboisso.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Comoé
Mkoa Sud-Comoé
Serikali [1]
 - Prefect Boni Kouassi Albert

Wilaya ya Aboisso (kwa Kifaransa: département d'Aboisso) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Sud-Comoé ulioko kusini-mashariki mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 307,852.

Makao makuu ya eneo hilo ni Aboisso.

Wilaya ya Aboisso sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.