Wilaya ya Ouellé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya ya Ouellé
Eneo la Wilaya ya Ouellé.
Eneo la Wilaya ya Ouellé.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Mkoa Iffou
Serikali
 - Prefect Soro Sana

Wilaya ya Ouellé (kwa Kifaransa: département de Ouellé) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Iffou ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 45,719.

Makao makuu ya eneo hilo ni Ouellé.

Wilaya ya Daoukro sasa imegawanywa katika tatu zifuatazo:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]