Mkoa wa Grands-Ponts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa Grands-Ponts
Mahali pa Mkoa wa Grands-Ponts (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lagunes
Mahali pa Mkoa wa Grands-Ponts (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lagunes
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lagunes
Serikali [1]
 - Prefect Kouakou Assoman
 - Rais wa Baraza Joseph Gabriel Yace
Eneo [2]
 - Mkoa 5,500 km²

Mkoa wa Grands-Ponts (kwa Kifaransa: Région des Grands-Ponts) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Kusini ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Dabou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 356,495.

Grands-Ponts kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Grands-Ponts", gouv.ci, accessed 23 February 2016.