Mkoa wa Bélier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Mkoa wa Bélier
Mahali paMkoa wa Bélier
Mahali paMkoa wa Bélier
Mahali pa Mkoa wa Bélier (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lacs
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lacs
Serikali[1]
 - Prefect André Ekponon Assomou
 - Rais wa Baraza Jeannot Ahoussou-Kouadio
Eneo[2]
 - Jumla 6,809 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 346,768
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Bélier (kwa Kifaransa: Région du Bélier) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika kitovu cha nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Yamoussoukro. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 346,768.

Bélier kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Bélier" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.